Jeremiah 30:3-5

3 aSiku zinakuja,’ asema Bwana, ‘nitakapowaleta watu wangu Israeli na Yuda kutoka uhamishoni, na kuwarudisha katika nchi niliyowapa baba zao ili kuimiliki,’ asema Bwana.”

4Haya ndiyo maneno Bwana aliyoyanena kuhusu Israeli na Yuda: 5 b“Hili ndilo asemalo Bwana: “ ‘Vilio vya woga vinasikika:
hofu kuu, wala si amani.
Copyright information for SwhKC